Broadcasting LUDEG

Ludewa development group LUDEG wanamiladi MBALIMBALI ikiwamo mladi wa uchakataji plastic kuwa BIDHAA za ujenzi wanatengeneza peving, Malumalu, henga, Vichanio vya kuchania nywele pamoja na tofari za kujengea nyumba. Pia LUDEG wanamladi wa bakery inayotengeneza bidhaa zitokanazo na shamba, ambazo ni nafaka kama ngano viazi nk.

Kommentare sind geschlossen.